Wide range of facilities and medical services
We do don't you trust us?
Standards of Treatment
Infection Prevention
Infection Prevention
4+ Years Experience
Medical laboratory and specialists services
We provide standard treatment and latest medical technology with best facility in our clinic.
- Routine and medical care
- Excellence in Healthcare every
- Building a healthy environment.
- Routine and medical care
Some of our specialists.
---.
Dr. Daniel Mwakibibi.
No Internet
No Internet
No Internet
Frequently Asked Questions
Ni kweli hawapatikani kila siku wala kwa masaa 24, lakini swala la dharura likitokea wanaweza kupatikana hata usiku. Kutopatikana kila wakati ni kwasababu zifuatazo:
- Kuna siku za kuona wagonjwa na siku za Upasuaji, hivyo siku ya upasuaji hatoweza kumuona mgonjwa isipokua wale waliopangiwa kufanya upasuaji. Tunakuomba ufahamu siku za kuona wagonjwa ili usipate shida kuja kumbe ni siku ya upasuaji.
- Hawapo wa kutosha hasa hapa kwetu na nchi nzima, hivyo kiufanisi na utimamu wa kazi, hawezi kupatikana mchana na usiku.
- Uchache wa wagonjwa, Daktari bingwa huletwa kutokana na uhitaji kuwa mkubwa.
Pole kwa changamoto hiyo.
Ndio kuna Daktari Mbobezi wa njia ya mfumo wa mkojo, aje achunguzwe mfumo wote kujua wapi kunashida na atapatiwa matibabu ikiwemo upasuaji itakapobidi.